Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Leonard Mkude akizungumza katika leo, Novemba 7, 2024, katika kikao kazi cha wahariri wanaoripoti habari za Wizara ya Fedha kilichofanyika mjini Morogoro. Benny Mwaipaja Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wizara ya Fedha akizungumza katika kikao kazi kati ya wahariri na wizara hiyo mkoani Morogoro Leo Novemba 07, 2024. ………….... Read More