Mwanasheria Mwandamizi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Bw. Usaje Mwambene (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa kwenye mafunzo ya Sheria ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, yaliyofanyika hivi karibuni mkoani Katavi, ikihusisha watumishi wa Mizani na Wasafirishaji wa Kanda ya... Read More