Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 4, amewasili wilayani Mbalizi, mkoa wa Mbeya, na kupokelewa kwa shangwe na maelfu ya wananchi. Wananchi wakiwa na nyuso za furaha, nyimbo na nderemo walijitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Mlima Reli kumlaki na kumsikiliza... Read More