Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala katika Ukumbi wa Mwigo Tabata , leo NOV 06, 2024.( Picha na CCM) Wanachama pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala wakifurahia... Read More