Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko akizungumza wakati wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Uziduaji kwa Mwaka 2024 lenye kauli mbiu “Sekta ya Uziduaji, Maendeleo Endelevu na Mhamo wa Nishati Tanzania”. Jijini Dodoma. Waziri wa Madini Anthony Mavunde akitoa maelezo kuhusiana na Sekta ya Uziduaji ,jijini Dodoma. Baadhi ya wadau wa... Read More