NA MWANDISHI WETU RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amekiri kuvutiwa na mchango mkubwa wa Benki ya NMB wa Sh. Bilioni 1 kati ya Sh. Bil. 2.71 zilizokusanywa wakati wa hafla ya kuchangisha fedha za matibabu ya watoto 1,500, wanaotibiwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Dk. Kikwete... Read More