Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali David Bugozi Musuguri, amefariki dunia Oktoba 29, 2024 akiwa na umri wa miaka 104, akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo jijini Mwanza. Jenerali Musuguri, alizaliwa Januari 4, 1920, Butiama mkoani Mara. Pia alihudumu katika jeshi kutoka 1942 hadi 1988 na kuhitimisha uongozi wake kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi... Read More