Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar pamoja na Watendaji wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ), wametembelea Makao Makuu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mtumba jijini Dodoma. Ujumbe huo, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Mh.Machano Othman Said, umetembelea e-GA ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano kati ya... Read More