Mwandishi Wetu,Dodoma BENKI ya NMB imetoa mamilioni ya fedha na vifaa ikiwemo zana za kilimo, friji na TV huku ikisubiri mshindi atakayeibuka na Sh100 milioni. Zawadi hizo zimetolewa kwa washindi kutoka mikoa mbali mbali nchini kupitia Shindano lake la Bonge la Mpango linalochezeshwa kupitia matawi yake nchi nzima. Meneja Mauzo wa NMB Makao makuu Nehemia... Read More