Castello Lukeba amezikumba Chelsea na Real Madrid kwa kusaini mkataba mpya na RB Leipzig. Lukeba ameripotiwa kuvutiwa na baadhi ya vilabu vikubwa barani Ulaya vikiwemo Chelsea na Real Madrid baada ya kufanya vyema katika klabu ya RB Leipzig. Pande hizo mbili zimekuwa zikifuatilia maendeleo yake msimu huu lakini sasa wameona matumaini yao ya kumpata beki... Read More