Na Mwandishi Wetu MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanza kuwapa mafunzo ya bure ya ujasiriamali wanawake wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Ameyasema hayo leo wakati akifunga mafunzo ya siku tatu kwa wanawake wajasiriamali zaidi ya 600 wa Wilaya ya Ilala jijini... Read More