Na WAF – Bungeni, Dodoma Imetajwa kuwa kaya masikini zipatazo Milioni 1.2 nchini zitanufaika na mpango wa Serikali wa kusaidia kaya zisizojiweza ili ziweze kupata huduma za afya kupitia Bima ya Afya kwa Wote. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema hayo leo Oktoba 23, 2024 wakati akiwasilisha taarifa ya hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa... Read More