WATUMISHI wa Vyama vya Ushirika na Taasisi za Fedha wamepewa onyo kali kuacha mara moja kuhujumu malipo ya wakulima wa Tumbaku, wakibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. “Tunasafisha Vyama vya Ushirika. Kiongozi na Mtumishi yoyote atakayehusika kwenye ubadhirifu wa fedha za wakulima, atasimamishwa kazi mara moja,” amesema Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe wakati wa... Read More