Meneja wa ofisi ya NHIF Mkoa wa Kinondoni Dr. Raphael Mallaba amewataka kila mdau atimize wajibu wake ili kufanikisha azma ya pamoja ya kuwapa huduma bora na za viwango vya juu wanachama wa Mfuko. Tunahitaji kuwa na lugha ya pamoja ili mwanachama ajione wa thamani. Kila mmoja wetu hapa aone anawajibika kwa mwenzie au kwa... Read More