Na Ashrack Miraji Fullshangwe media Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha Jana Tarehe 9 Oktoba ,2024 Amezindua Kampeni Kabambe ya Kuhamasisha Wananchi Kushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Pamoja na Ushiriki wa Kujiandikisha kwenye Orodha ya Daftari la Wapiga ni muhimu Kwa maslahi mapana ya Taifa letu “Nawaomba wananchi wote kujitokeza kwa... Read More