………………. Na Mwandishi Wetu, Joensuun , Finland Tanzania itapata fursa zaidi ya kuboresha sekta yake ya misitu inayochangia kwa sasa asilimia 4.2 ya Pato la Taifa (GDP), kufuatia utayari wa Serikali ya Finland (Ufini) na wadau wengine wa teknolojia nchini hapa kusaidiana katika nyanja za teknolojia za kisasa. Hayo yamesemwa leo Oktoba 9, 2024 na... Read More