Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge akitoa elimu kwa vitendo kuhusu Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa kutumia umeme Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limetoa elimu kwa vitendo kuhusu Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa kutumia umeme. Akizungumza leo... Read More