Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Shamata Shaame Khamis ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kushiriki Maonesho ya siku ya chakula Duniani yanayofanyika viwanja vya Chamanangwe Kisiwani Pemba ikiwa na Teknolojia za Kilimo zinazolenga kumuongezea Mkulima tija. Waziri Shamata ametoa pongezi hizo leo Oktoba 09, 2024... Read More