NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Halmashauri ya mji Kibaha iliyopo Mkoa wa Pwani katika kukuza na kuinua kiwango cha elimu imetekeleza kwa vitendo maelekezo ya Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi madawati 4000 katika shule za msingi 46 na sekondari 20 ambayo yatakuwa ni mkombozi mkubwa kwa wanafunzi kuondokana na kero... Read More