Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua gwaride, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya awali ya uchunguzi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), yaliyofanyika kwenye Shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro. Oktoba 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………… Waziri Mkuu Kassim... Read More