NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV BODI ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiliaji Majenzi (AQRB) inatarajia kufanya mkutano wao wa mwaka ambao utafanyika tarehe 29-30 Oktoba 2024 ambapo umelenga kutoa taarifa ya bodi katika nyanja ya mafanikio pamoja na changamoto zilizo jitokeza katika kipindi Cha mwaka mmoja. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Oktoba ... Read More