*Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA *Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi *Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi ambapo jumla ya megawati 30... Read More