Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Geita kimesema hakilidhishwi na kasi ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami wa 17km Barabara zinazojengwa katika Manispaa ya Geita zenye thamani ya shilingi Bilioni 22.5 Fedha kutoka Benki kuu ya Dunia. Kauri hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Geita, Barnabas Mapande mara... Read More