Wanafunzi wa Tanzania Washiriki Kambi ya Utafiti wa Vipaji vya Kidigitali ya Huawei Kusini mwa Jangwa la Sahara nchini China (leap digital study) Shenzhen, ( Uchina] Huawei kwa mara nyingine tena imedhihirisha dhamira yake ya kuwawezesha vijana wenye vipaji katika nyanja za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kwa kuandaa Kambi ya Utafiti wa Vipaji... Read More