NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akizungumza na Viongozi Wandamizi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) waliofika Ofisini kwake Kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo ya kuimarisha taasisi hizo mbili leo tarehe 04/12/2024. NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amesema chama... Read More