Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imedhihirisha tena ukubwa wake nchini, baada ya mwaka huu kuweka rekodi kwa kutwaa zaidi ya tuzo 30 zinazotambua ubora wa huduma zake, ubunifu, ufanisi katika uendeshaji na utendaji, pamoja na mchango wake mkubwa katika ujenzi wa taifa. Mafanikio hayo ya kipekee kitasnia na makubwa kitaifa na kimataifa yalibainishwa jana... Read More