Na Mwandishi wetu- Dodoma Divisheni ya Mikataba Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendesha mafunzo ya Upekuzi wa Mikataba kwa Mawakili wa Serikali kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, mafunzo hayo yanafanyika kwa siku tano Jijini Dodoma, kuanzia tarehe 7 hadi 11 Oktoba, 2024. Akizungumzia mafunzo hayo Wakili... Read More