Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Mtoto kutoka Wizara Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Asha Shame akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wa kutoa elimu mahsusi ya malezi kwa vijana balehe Maafisa Maendeleo ya Jamii, Maafisa Ustawi wa Jamii na waratibu wa Afya ya Mama na Mtoto wa mikoa mbalimbali... Read More