Rais na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya Barrick, Mark Bristow akifunua kitambaa kuashuria uzinduzi wa shule hiyo iliyojengwa na mgodi wa North Mara. ** Rais na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya Barrick, Mark Bristow. amekabidhi kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime shule ya msingi mpya ya kisasa ya Kenyangi... Read More