Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Mhe. Kheri James amekabidhi msaada wa vifaa na mahitaji wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 7.6 uliotolewa na Hifadhi ya Taifa Ruaha kwa ajili ya wananchi wenye mahitaji maalumu wa vijiji vya Kata ya Idodi iliyoko wilaya ya Iringa vijijini. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo katika kijiji... Read More