Na Mwandishi Wetu,Arusha RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amepongeza walimu 5000 wa shule za msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya oryx na majiko yake kwa lengo la kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia . Akizungumza kwa njia ya simu wakati wa hafla ya... Read More