NA MWANDISHI WETU KATIKA kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya NMB imeitambulisha kampeni kubwa ya mapinduzi huduma kiteknolojia iitwayo Sisi ni Huduma ‘Tumekupata,’ utambulisho uliofanyika sambamba na uzinduzi wa Mtoa Huduma wa Kidigitali ‘Chatbot’ aliyepewa jina la NMB JIRANI. Utambulisho na uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 7, ambako... Read More