Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Lojistiki na Uchukuzi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo tarehe 17 Oktoba, 2024. Mkutano huo umefunguliwa rasmi na Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), ambaye katika hotuba yake ya ufunguzi amesema Serikali... Read More