-Kila Wilaya kupata majiko 3,255 -RC Mara ahamasisha wananchi kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kusambaza majiko ya gesi (LPG) ya kilo 6 yapatayo 19,530 Mkoani Mara ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hayo yamebainishwa Desemba 2,2024 na Mhandisi Mwandamizi wa Wakala... Read More