Kwa mara ya kwanza Duniani na kwa kushirikiana na @mastercard, Benki ya NMB imezindua rasmi mfumo wa malipo wa Lipa kwa QR link (QR pay by link with click to pay), ambapo wateja na wale ambao sio wateja wa NMB kutoka popote duniani wanaweza kufanya malipo kwa kadi zao kwa kuscan QR za NMB.... Read More