Shinikizo la kijamii la kuanzisha familia limewalazimu Vijana wengi Nchini Vietnam kukodisha Wapenzi wa muda (Fake Boyfriends) ili kuridhisha Wazazi wao na Kulingana na ripoti mwelekeo huu umekuza Biashara mpya ambapo Vijana wanatafuta wenza wa muda kwa matukio maalum kama mikutano ya kifamilia na sherehe za mwaka mpya. Minh Thu, msichana mwenye umri wa miaka... Read More