Rais wa Marekani Joe Biden siku ya Jumapili alitoa msamaha rasmi kwa mtoto wake Hunter, ambaye alikuwa anakabiliwa na hukumu ya kesi mbili za uhalifu, licha ya kuhakikishiwa kwamba hataingilia matatizo yake ya kisheria Biden Jr alipatikana na hatia mapema mwaka huu kwa kusema uwongo kuhusu matumizi yake ya dawa za kulevya wakati aliponunua bunduki... Read More