VICTOR MASANGU, PWANI Chama cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani kimesema kwamba kimeshinda kwa kishindo na kufanikiwa kuweza kuchukua mitaa yote 146 ndani ya Mkoa mzima katika uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na kuwepo kwa ushirikiano wa kutosha baina ya viongozi pamoja na wanachama ikiwemo sambamba kutoa hamasa kuanzia ngazi za chini kuhusiana na... Read More