Majaji na Mahakimu zaidi ya mia tatu wanaotarajiwa kukutana mkoani Arusha kuanzia kesho watapata fursa ya kujengewa uwezo katika maswala ya kuendesha Kesi za jinai,madai na migogoro ambapo lengo kuu ni kuhakikisha wanamaliza na kutatua migogoro kwa haraka . Aidha migogoro inapotatuliwa kwa haraka sana watu wanatoka kwenye migogoro mahakamani na kwenda kwenye shughuli zao... Read More