Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa kupokea taarifa ya mapitio ya rasimu ya Dira ya Taifa 2050. Katibu Mkuu wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Dkt.Taus Kida Mbaga akizungumza katika mkutano wa kupokea taarifa ya mapitio ya rasimu ya Dira ya Taifa 2050.... Read More