SERIKALI imeendelea kutoa msisitizo kwa Vyama vya Ushirika na kuvitaka kujenga misingi imara ya ushirika ili kumlinda mkulima badala ya kumnyonya na kumdhulumu haki zake. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) tarehe 1 Oktoba 2024 wakati akizindua Kiwanda cha Kubangua Korosho cha TANECU kilichopo Newala, Mkoani Mtwara. Waziri Bashe amesema safari... Read More