Akitoa tamko la umoja huo leo Oktoba 1,2024 mbele ya waandishi wa habari jijini Dodoma,Mwenyekiti wa Umoja Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT),akitoa tamko kwa waandishi wa habari leo Oktoba 1,2024 kuhusu kukemea kitendo kilichofanywa na Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) cha kuchoma moto vitenge vyenye picha ya Rais Mhe.Dk. Samia Suluhu Hassan. …. UMOJA... Read More