Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Wilaya ya Mufindi, Jasmine Ng’umbi, ametoa simu janja kwa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Iringa, akisisitiza kuwa zitatumika kuimarisha zoezi la usajili wa wanachama. Pia, alikabidhi jora nane la vitambaa kwa ajili ya vijana wa Itifaki, ili waweze kushona sare, kutokana na mchango mkubwa wa vijana hao... Read More