Na. Mwandishi Wetu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 07 hadi 13 Oktoba, 2024 ambapo vituo vitafunguliwa saa 02:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni. Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi Kisiwani Pemba, Zanzibar, Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa... Read More