Rais wa Marekani, Donald Trump. Rais wa Marekani, Donald Trump, ameibua shutuma nzito dhidi ya viongozi wa mataifa matatu yenye nguvu duniani, akiwatuhumu kupanga njama za kuihujumu Marekani. Akizungumza kupitia taarifa iliyotolewa na Ikulu ya White House, Trump alisema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin, Rais wa China, Xi Jinping, na Kiongozi wa Korea Kaskazini,... Read More