Baada ya Waziri wa Maji Jumaa Aweso kutoa mwezi mmoja kwa RUWASA Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kuhakikisha Maji yanapatikana katika Kijiji Losinyai kufuatia wananchi kuandamana na kufunga barabara wakidai kupatiwa huduma ya maji,hatimae agizo hilo limetekelezwa na wananchi wameanza kupata huduma hiyo. Hatua hiyo imekuja Baada ya Ayo TV na Millardayo kuripoti taarifa ya... Read More