Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewaonya Wahouthi wa Yemen wanakabiliwa na “gharama kubwa” baada ya kundi hilo kurusha kombora kuelekea ndani kabisa ya Israel. Kombora hilo lilirushwa kutoka Yemen kuelekea Israel saa kumi na mbili asubuhi kwa saa za huko asubuhi ya leo, kulingana na Jeshi la Ulinzi la Israel ambalo liliongeza kuwa “uwezekano... Read More