Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima, amewataka wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Mazingira kuchangamkia fursa ya Maonesho Makubwa ya Kilimo Biashara yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Gairo kuanzia Oktoba 06, 2024 hadi Oktoba 12, 2024. Rai hiyo ameitoa Leo wakati wa Mkutano wake na waandishi wa habari kuzungumzia Maonesho hayo ambayo yatawaleta... Read More