………. Na John Walter -Babati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo ameshiriki kwenye harambee katika Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mamire Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Babati kwa ajili ya umaliziaji ujenzi wa kanisa hilo. Katika harambee hiyo jumla ya... Read More