Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga tarehe 15 Septemba 2024 ambapo ametrmbelea mradi wa bwawa la umwagiliaji lililopo katika kijiji cha Malenge, Kata ya Isagehe lenye ukubwa wa mita za ujazo wa 600,000 kwa thamani ya shilingi bilioni 2.5. Bwawa litakuwa na mifereji mikuu na... Read More